SimuliziNaSauti
6,597
91,268,053
0

KANUNI NA MUONGOZO

Simulizi na Sauti (SnS) ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti matukio ya burudani yanayowahusu watu mashuhuri katika muziki, filamu, michezo nk, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:

1. Kuripoti habari za ukweli
2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu
3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi

Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu

1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
2. SnS ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali
3. SnS ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote
4. SnS ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

Share
Video:
00:02:35
Karen ashindwa kuzuia hisia zake kwa Diamond!
00:02:38
Hatimaye Kenya Airways wamjibu Zari The Bosslady