SAKATA LA UAMSHO: SHEIKH PONDA AMTEGA RAIS SAMIA/AMTAJA PROF. KABUDI

MwanaHALISI TV
MwanaHALISI TV
Published on 29.04.2021

SHEIKH Ponda Issa Ponda, Katibu wa Taasisi za Waislam Tanzania, amesema, hekaheka kuhusu viongozi wa dini ya Kiislam kushikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za ugaidi, lilianza mwaka 2002.

Amesema, ilikuwa ni makosa kupokea sheria zilizoletwa kutoka mataifa ya nje ili kutumika kusakama viongozi wa dini, kwa kuwa mazingira yaliyotumika kuandaa sheria hizo hayakuwepo Tanzania....

Akizungumza na MwanaHALISI Online kuhusu kauli ya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (CCM), aliyoitoa hivi karibuni, bungeni kuhusu tuhuma za ugaidi kuelekezwa kwa masheikh, amesema wabunge wenyewe mwaka 2002 walipinga sheria hiyo.

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV ( 255 767 400402),
🔘WhatsApp ( 255 692 318213)
🔘Email: [email protected]
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Runtime 00:27:25

MWANAHALISI TV, MWANAHALISI ONLINE, HABARI LEO, MASHEKHE WA UAMSHO, SHEKHE POMBA, ASKOFU GWAJIMA NA SHEKE PONDA, GWAJIMA MASHEKEHE WA UAMSHORAIS MAMASAMIA, JUMUI YA TAASISIS ZA KIISLAMU TANANIA, VYAMA VYA SIASA, TUNDU LISU, WAISLAMU TANZANA, UGAIDI WA MASHEKHE, BUNGENI UKATILI, SAKATA LA UAMSHO, AMTAJA PROF. KABUDI, SHEIKH PONDA AMTEGA RAIS SAMIA,

COMMENTS: 444
Recommended Videos
For advertisers
place for your advertisement.