Dr Rose Rwakatare atoboa siri za hayati mama yake Bishop Dr Gertrude Rwakatare atoa machozi

Rulea Sanga
Rulea Sanga
Published on 28.04.2021

Dkt. Rose Rwakatare siku ya Jumapili 25.04.2021 Katika Kusheherekea Mwaka Mmoja wa Maisha ya Utumishi wa Hayati mama yake mzazi Askofu Mhe. Dkt. Gertrude Rwakatare aliweza kumzungumzia mama yake mzazi hasa kazi zake, uhusiano wake na familia yake, maendeleo ya miradi yake baada ya kufariki na huduma yake yaani makanisa yake. Sherehe hii ilifanyika katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" ambapo mwili wa mama yake umepumzika.

Runtime 00:36:33

COMMENTS: 50
Recommended Videos
For advertisers
place for your advertisement.
HOW WE MET (PART 2) FARHANA OBERSON
HOW WE MET (PART 2) FARHANA OBERSON
Farhana Oberson
46,283